BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA MWANASHERIA MKUU LAKUTANA

 • Mwanasheria Mkuu wa Serikali asisitiza kuendelea kusogeza huduma karibu na Wananchi Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali limekutana na kufanya kikao kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali yatakayosaidia kurahisisha utendaji kazi na kutoa huduma bora zaidi za kisheria kwa wananchi.  Kikao hicho kimefanyika Januari 24, 2025 katika Chuo cha Uongozi…

Read More

Daraja la JPM kuanza mwezi ujao

Mwanza. Baada ya wananchi mikoa ya kanda ya Ziwa na nchi jirani kutumia saa mbili kusubiria kivuko cha Mv Mwanza na MV Misungwi kwenda kati ya Kigongo- Busisi, sasa kuanzia mwezi ujao watatumia dakika tano hadi 15 wakipita katika daraja jipya la JPM kwa kutumia miguu au gari. Matumaini ya kutumia dakika tano kuvuka katika…

Read More

Samia mgeni rasmi Siku ya Wanawake Duniani

Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yatakayofanyika kitaifa Machi 8, 2025, mkoani Arusha. Hayo yamesemwa leo Ijumaa, Januari 24, 2025, na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, wakati wa hafla ya makabidhiano ya pikipiki zilizotolewa kwa Jeshi la Polisi ili kuimarisha usalama mkoani humo….

Read More

Bashe atamani kilimo kiheshimiwe kama Mwenge

Dodoma. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema endapo kilimo kingeheshimika kama ilivyo kwa Mwenge wa Uhuru, umasikini Tanzania ungeondoka. Mbali na hilo, ameeleza kusikitishwa kwa Kituo cha Mafunzo kwa Wakulima mkoani Iringa (Ward resource center) kugeuzwa nyumba ya kulala wageni. Bashe ameyasema hayo leo Ijumaa, Januari 25, 2025 wakati wa hafla ya kutia saini makubaliano…

Read More

Mvua ya mawe yaharibu ekari 120 za tumbaku Chunya

Mbeya. Mashamba ya tumbaku yenye ukubwa wa ekari 120 yameathiriwa na mvua ya mawe iliyoambatana na upepo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Mvua hiyo ilinyesha Januari 20, 2025 katika baadhi ya maeneo na kusababisha majani ya zao hilo kuharibika. Mashamba yaliyoathirika yanamilikiwa na wakulima 31 ambao ni wanachama wa Amcos za Magunga na Ifuma zilizopo…

Read More