
Magomeni Makuti Yafurahia Ujio wa Meridianbet
JUMAMOSI nyingine tena ya mwezi wa kwanza ambapo siku ya leo kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania, Meridianbet imeamua kuwafikia wakazi wa Magomeni Makuti na kutao msaada wa vyakula. Meridianbet, kwa kutambua changamoto zinazowakabili wakazi wa Magomeni Makuti, iliamua kuwatembelea wakazi wa eneo hilo na kutoa msaada wa vyakula kwa familia zinazokumbwa na hali ngumu ya…