Taarifa za moja kwa moja huku Baraza la Usalama likifanya mkutano wa dharura – Masuala ya Ulimwenguni

© UNICEF/Jospin Benekire Mapigano yamesababisha maelfu ya watu kuyahama makazi yao mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, huku wengi wakikimbilia kambi karibu na Goma. (faili) Jumapili, Januari 26, 2025 Habari za Umoja wa Mataifa Ghasia na mauaji yanayoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yalisababisha mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama Jumapili…

Read More

WAZIRI JAFO ATAKA HUDUMA KWA WAKATI ZAHANATI YA BWAMA.

Waziri wa Viwanda na Biashara na Mbunge wa Jimbo la Kisarawe Mhe. Dkt.Selemani Jafo(Mb) amemtaka Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe kuhakikisha huduma ya Afya inapatikana wakati wote katika Zahanati ya Bwama. Amebainisha hayo wakati anazindua Zahanati ya Bwama iliyopo Wilaya ya Kisarawe Janauri 25,2025 ambapo amesisitiza huduma hiyo ya utaoji wa afya isisimame ili…

Read More

MFUMO ULIOBORESHWA WA TANCIS KUBORESHA TARATIBU ZA FORODHA NCHINI.

Na Karama Kenyunko Michuzi Tv MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mfumo mpya wa Tanzania Customs Integrated System (TANCIS) utarahisisha uingizwaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi na kuingia ndani kwa haraka, jambo litakalosaidia kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na watafanyakazi mchana na usiku. Mfumo huo uliozinduliwa hivi karibuni umebuniwa kuboresha ufanisi, kuhakikisha usahihi,…

Read More

JAFO AZINDUA WIKI YA SHERIA KISARAWE

Na Khadija Kalili Michuzi Tv. WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt.Selemani Jafo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kisarawe amezindua Wiki ya Sheria na kupokea maandamano kwenye Viwanja vya Chanzige. Ameyasema hayo Januari 24 2025 wakati akizindua Wiki ya Sheria kwa Wilaya ya Kisarawe ambapo ameitaka Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe kuendelea kuwasikiliza wananchi…

Read More

Azania wavuka lengo mauzo ya hatifungani

Dar es Salaam. Wakati Benki ya Azania ikiweka historia ya kukusanya Sh63.3 bilioni ndani ya siku 32, asilimia 97 ya waliowekeza kwenye hati fungani hiyo ni wawekezaji mmoja mmoja. Mauzo hayo ni mara mbili zaidi ya kiwango kilichokuwa kimekusudiwa cha kukusanya Sh30 bilioni na nyongeza ya Sh15 bilioni mpaka kufika tamati ya mauzo Desemba 6,…

Read More

Maafisa wa UN wanataka kufuata mapigano baada ya watu 15 kuuawa huko Lebanon – maswala ya ulimwengu

Wakati uliowekwa katika makubaliano ya kusitisha mapigano ya Novemba “haujafikiwa”, kulingana na a Taarifa ya Pamoja Na Mratibu Maalum wa UN wa Lebanon Jeanine Hennis-Plasschaert na Mkuu wa UNS Amani ya UN, UNIFILna Kamanda wa Nguvu Aroldo Lázaro. Makubaliano kati ya Israeli na kikundi cha watu Hezbollah yalikuwa yamefikiwa baada ya zaidi ya mwaka wa…

Read More