Rais Samia akutana na kuzungumza na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
amekutana na kuzungumza na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)
Dkt. Akinumwi Adesina, Ikulu Jijini Dar es Salaam