
MITAMBO YA SHILINGI BILIONI 1.7 YAZINDULIWA JIJINI ARUSHA
HAFLA ya uzinduzi wa malori mapya na mtambo mpya wa kutengeneza miundombinu ya barabara yenye thamani ya Sh.bilioni 1.7 imefanyika leo Jijini Arusha. Akizungumza katika uzinduzi huo mgeni rasmi Meya wa Jiji la Arusha Macmillan Kirage amesema fedha ilitotumika kununua mitambo hiyo metokana na mapato ya ndani ya Jiji la Arusha na kusisitiza mitambo hiyo…