KATIKA kujenga kikosi bora cha ushindani, uongozi wa Coastal Union umetangaza nafasi za kazi tano. Muombaji anatakiwa kufikisha maombi yake Ofisi ya Katibu wa Klabu iliyopo makao makuu ya klabu barabara ya 11,Tanga na kuwasilisha kwa barua pepe.
Habari za Kitaifa