
Trump asitisha ufadhili kabla ya kesi kusikilizwa
Dar es Salaam. Wakati Bara la Afrika likiwa kwenye mtanziko kuhusu kusitishiwa misaada ikiwemo dawa za ARV, malaria na kifua kikuu, utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump umeondoa agizo la kusitisha mikopo ya shirikisho, ruzuku na misaada mingine ya kifedha. Jaribio la Rais Trump kufungia mabilioni ya dola katika ufadhili wa Serikali lilizuiliwa kwa…