TIMU NNE KUKUTANA NUSU FAINALI ‘JAFO CUP’

Mwenyekiti  wa Kamati ya michuano ya Jafo Cup Ally  Mkomwa akikabidhi mpira na  jezi na  Kocha wa timu wa Kisarawe Muada Semkiwa Mhando kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi  wa mikutano  wa Halmashauri ya Kisarawe Mkoani Pwani leo Januari  16. Afisa Michezo Wilaya ya Kisarawe  Dalidali Rashid Na Khadija Kalili Michuzi TvTIMU nne zinatarajiwa kushuka dimbani…

Read More

LIGI KUU YA UINGEREZA NA COPA DE LE REY KUKUPA KITITA LEO

LIGI kuu chini Uingereza na kombe la mfalme kule nchini Hispania (Copa de le Rey) ni fursa kwako wewe unaetandika jamvi na mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet, Kwani itapigwa michezo kadhaa leo ambayo inaweza kukupa kitita cha kutosha. Michezo hii kama ilivyo kawaida imepewa Odds bomba pale Meridianbet jambo ambalo linakufanya wewe unaeweka majamvi…

Read More

Karakaba atabiriwa makubwa Namungo | Mwanaspoti

KOCHA wa Namungo, Juma Mgunda amemtabiria makubwa nyota wa Simba, Saleh Karabaka aliyetua katika timu hiyo kwa mkopo, huku akisisitiza amemvuta kiungo mshambuliaji huyo kutokaa na falsafa yake ya kuwaamini vijana wenye uwezo wa kucheza wakiwa na utulivu na akili kubwa uwanjani. Karabaka aliyesajiliwa na Simba katika dirisha dogo la msimu uliopita akitokea JKU ya…

Read More

Vyuma KenGold vinashtua | Mwanaspoti

KENGOLD wameshtuka. Baada ya kupima upepo wa Ligi Kuu Bara na kubaini sio mwepesi, mabosi wa klabu hiyo iliyopanda daraja msimu huu wameamua kufanya kweli kwa kushusha majembe ya maana yanayoweza kushtua katika duru la pili, licha ya kuwakosa Saido Ntibazonkiza, Luis Miquissone na Tadeo Lwanga. Kikosi hicho cha Wachimba Dhahabu wa Chunya, kimewakosa nyota…

Read More

NIDA YAJA NA MBINU MPYA KUHAKIKISHA VITAMBULISHO VANACHUKULIWA

Na Mwandishi wa NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka wale wote ambao hawakujitokeza kuchukua vitambulisho vyao vya Taifa vilivyopelekwa katika ofisi za Kata, Vijiji, Mitaa, Vitongoji na Shehia kufika katika ofisi za NIDA za wilaya walikojisajili kuchukua vitambulisho vyao mara watakapopokea ujumbe mfupi wa maandishi katika simu zao za mkononi (sms) unaowataka kufanya…

Read More

MGEJA AWATAKIA HERI WANA CCM MKUTANO UNAOTARAJIA KUFANYIKA DODOMA

Na Mwandishi Wetu, MWANASIASA mkongwe na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja, amewatakia heri wana-CCM katika mkutano mkuu wa kushika mikoba ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti, Abdulahman Kinana. Akizungumza leo Januari 16, 2025 jijini Dar es Salaam, amesema kuwa shauku kubwa ya wana-CCM ni kumpata Makamu Mwenyekiti atakayemsaidia mwenyekiti wa chama ambaye…

Read More