
Mambo yaanza kunoga uchaguzi Bawacha, wajumbe wawasili
Dar es Salaam. Baada ya Baraza la Vijana Chadema (Bavicha) na Baraza la Wazee Chadema (Bazecha) kupata viongozi wake, leo ni zamu ya Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) kusaka viongozi katika sanduku la kura. Uchaguzi huo wenye msisimko wa aina yake, unafanyika leo Alhamisi Januari 16, 2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es…