
Wafanyabiashara walivyoguswa na mageuzi ya Bandari ya Dar
Dar es Salaam. Viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT), imeridhika na uwekezaji uliofanyika katika Bandari ya Dar es Salaam, ikisema umeleta ufanisi katika uendeshaji wa bandari hiyo katika uboreshaji wa utoaji wa huduma. Kwa nyakati tofauti Serikali iliingia mikataba na Kampuni za DP World na Kampuni ya Adani Ports ili kuboresha na kuleta ufanisi…