Mpango wa lishe mawaziri, makatibu wakuu Zanzibar kubanwa

Unguja. Wakati ukizinduliwa mpango mkakati wa kisekta wa lishe Zanzibar wa miaka mitano, Makamu wa Pili wa Rais, Hemed Suleiman Abdulla amezitaka wizara na taasisi zinazohusika kujipanga kuutekeleza, iwapo wakishindwa wajihesabu hawana kazi. Hemed amesema licha ya mafanikio na jitihada kubwa zinazochukuliwa, bado kuna kiwango kikubwa cha matatizo ya lishe duni. Mpango mkakati huo wa…

Read More

Makubaliano ya kusitisha vita ya Israel-Hamas yanukia

Doha. Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Jeshi la Israel (IDF) na kundi la wapiganaji la Hamas lililopo ukanda wa Gaza nchini Palestina yamefikia pazuri. Kwa mujibu wa tovuti ya Al Jazeera, masungumzo ya makubaliano ya kusitisha mapigano hayo yanayoratibiwa na mataifa mbalimbali ikiwemo Qatar na Marekani yanaendelea vyema jijini Doha Qatar. Kwa mujibu wa…

Read More

Michelle Obama adaiwa kususia uapisho wa Trump

Washington. Zikiwa zimebaki siku tano kuapishwa kwa Rais Mteule wa Marekani Donald Trump, Michelle Obama ambaye ni mke wa Rais mstaafu wa Marekani, Baraka Obama amesema hatashiriki hafla ya kumuapisha Rais huyo. Trump anatarajiwa kuapishwa jijini Washington DC, Januari 20, 2025, hafla ambayo inatarajiwa kuhudhuriwa na wanasiasa, watu mashuhuri na viongozi wa nchi na wanadiplomasia…

Read More

Wafanyabiashara walalama utitiri wa kodi unavyowatesa

Musoma. Baadhi ya wadau wa sekta ya kodi mkoani Mara wamependekeza kupunguzwa kwa wingi wa kodi ili kuimarisha uchumi wa taifa. Wamesema hatua hiyo itahamasisha ulipaji wa hiari wa kodi na kuchangia ongezeko la pato la Taifa. Wadau hao wamesisitiza umuhimu wa kuunganisha baadhi ya kodi na tozo ili zikusanywe na taasisi moja badala ya…

Read More

Kesi ya Dk Manguruwe yapigwa kalenda tena

Dar es Salaam. Serikali imesema bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40) maarufu Dk Manguruwe. Dk Manguruwe na mwenzake Rweyemamu John (59) ambaye ni mkaguzi wa fedha wa kampuni hiyo, wanakabiliwa na mashtaka 28 yakiweno ya kuendesha biashara ya upatu na utakatishaji…

Read More

Baresi, Lyanga kuna siri nzito

BAADA ya kukamilisha usajili wa Danny Lyanga, kocha mkuu wa Mashujaa, Mohamed Abdallah ‘Baresi’ amefichua siri iliyomfanya amsajili mshambuliaji huyo mkongwe akisema ni uzoefu mkubwa alionao anaoamini utaibeba timu katika duru la pili la Ligi Kuu Bara. Lyanga aliyekuwa JKT Tanzania, amewahi pia kucheza Tanzania Prisons, Geita Gold, Azam, Simba na  Fanja ya Oman ametua…

Read More