
Abdi Banda aibukia Dodoma Jiji
BEKI kisiki wa zamani wa Coastal Union, Simba na Mtibwa Sugar, Abdi Banda amejiunga na Dodoma Jiji kama mchezaji huru baada ya kuvunja mkataba na Baroka FC ya Afrika Kusini. Banda alivunja mkataba na Baroka miezi mitatu tangu ajiunge na timu hiyo inayoshiriki Ligi ya Championship. Beki huyo alivunja mkataba na timu hiyo baada ya…