
Watumishi wawili wa Bodi ya Maji wasimamishwa kazi Siha
Siha. Watumishi wawili wa Bodi ya Maji Magadini Makiwaru, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kuwaunganishia huduma ya maji wananchi 63 kinyume cha utaratibu. Watumishi hao ambao ni mafundi wa bodi hiyo, wanadaiwa kuwaunganisha wananchi hao kwenye huduma ya maji bila kuwajumuisha kwenye mfumo wa malipo, jambo lililosababisha upotevu wa mapato…