
Singida Black Stars yafuata mido Burkina Faso
SINGIDA Black Stars imetua kambi ya timu ya Taifa ya Burkina Faso ikipambana kuipata saini ya Clement Pitroipa mwenye uwezo wa kucheza kiungo mshambuliaji na ukabaji. Pitroipa alikuwa nyota wa mchezo wakati Burkina Faso ikiichapa Kilimanjaro Stars katika michuano ya Kombe la Mapinduzi iliyomalizika juzi Jumatatu Kisiwani Pemba akifunga bao moja na kutengeneza lingine wakishinda…