
PROF. KABUDI AHIMIZA MATUMIZI YA KAMUSI YA KISWAHILI SHULENI
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi akipokea kamusi ya Lugha ya Kiswahili kwa shule za msingi kutoka kwa Katibu Mtendaji wa BAKITA, Consolata Mushi. WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, amewahimiza Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) kuchukua hatua madhubuti katika kuhakikisha Kamusi ya Kiswahili inatumika ipasavyo shuleni ili…