
Caf yaishushia rungu Simba, kuivaa Constantine bila mashabiki
SIMBA SC itacheza mechi yake ya Jumapili wiki hii Januari 19, 2025 dhidi ya CS Constantine bila ya mashabiki kufuatia adhabu iliyopewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Adhabu hiyo imekuja baada ya kutokea vurugu katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu dhidi ya CS Sfaxien uliofanyika…