
TLSB kuwakutanisha waandishi na wachapishaji vitabu kesho Dar
Na Mwandishi Wetu BODI ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), imeandaa mkutano wa waandishi na wachapishaji wa vitabu kuhusu Sheria ya amana kwenye maktaba mtandao wa taifa na ununuzi wa vitabu kwa ukuzaji wa soko la ndani utakaofanyika kesho. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya (TLSB), Profesa Rwekaza Mukandara….