
Fei Toto ataja kilichowabeba Mapinduzi Cup
NAHODHA wa kikosi cha Zanzibar Heroes, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amefichua kujituma kwao mwanzo hadi mwisho ndiyo siri kubwa ya kuwa mabingwa wa Kombe la Mapinduzi 2025. Zanzibar Heroes ilibeba ubingwa wa michuano hiyo baada ya jana Jumatatu kuichapa Burkina Faso mabao 2-1 katika mchezo wa fainali uliofanyika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba. Katika mchezo…