
Lema: Uchaguzi ukiwa huru na haki, Mbowe hawezi kushinda
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amesema kama uchaguzi wa mwenyekiti ndani ya chama hicho utafanyika kwa uhuru, uwazi na haki basi Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe hawezi kushinda. Lema ambaye ametangaza msimamo wake wa kumuunga mkono makamu mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu kwenye…