Wasaidizi wa kibinadamu wanaendelea kutoa wito kwa Israeli kuwezesha utoaji wa misaada huko Gaza – Masuala ya Ulimwenguni

Mamlaka ya Israel inaendelea kukataa juhudi zinazoongozwa na Umoja wa Mataifa za kuwafikia Wapalestina kwa msaada muhimu, shirika hilo lilisema, likibainisha kuwa ni harakati saba tu kati ya 22 zilizopangwa za kibinadamu za Umoja wa Mataifa Jumapili ziliwezeshwa. Kati ya idadi hii, sita walinyimwa moja kwa moja, tano walizuiliwa, na nne zilifutwa kwa sababu ya…

Read More

Wanawake waibuka kidedea Bazecha | Mwananchi

Dar es Salaam. Wajumbe wa Baraza la Wazee (Bazecha) wamemchagua Suzan Lyimo kuwa mwenyekiti mpya wa baraza hilo kwa miaka mitano ijayo baada ya kujinyakulia kura 96 huku nafasi ya katibu mkuu akishinda Hellen Kayanza. Lyimo ametangazwa mshindi baada ya kuwabwaga wapinzani wake wanne akiwamo Hashim Issa aliyepata kura 14 aliyekuwa akitetea nafasi hiyo aliyohudumu…

Read More

MENEJA NSSF KINONDONI AWATAKA WAJASIRIAMALI KUENDELEA KUJIUNGA NA KUJIWEKEA AKIBA ILI WAWEZE KUNUFAIKA NA MAFAO

Meneja wa NSSF Mkoa wa Kinondoni, Bw. Large Materu ametoa wito kwa wajasiriamali kuendelea kujiunga na kujiwekea akiba katika Mfuko ili waweze kunufaika na mafao yanayotolewa yakiwemo ya uzee, uzazi na matibabu. Alitoa wito huo wakati akiongoza utoaji wa elimu ya hifadhi ya jamii kwa viongozi wa masoko na baadaye wafanyakazi wa NSSF waliweka kambi…

Read More

TARURA RUVUMA YAIDHINISHIWA SHILINGI BILIONI 38.3 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA

Na Muhidin Amri,Songea WAKALA wa barabara za vijijini na mijini Tanzania(TARURA)Mkoa wa Ruvuma,kwa mwaka wa fedha 2024/2025 umehidhinishiwa Sh.bilioni 38.394 kwa ajili ya kufanya matengenezo na ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilometa 1,145,madaraja madogo 50 na makalavati 57. Kati ya hizo Sh.bilioni 7.8 bajeti ya barabara kuu,Sh.bilioni 9.8 zinatokana na tozo ya mafuta,Sh.bilioni 4.5…

Read More

Hiki hapa kinachozibeba Simba, Yanga Caf

SIMBA juzi ilitinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kutoka sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Bravos ya Angola huku Yanga ikijiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua hiyo kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Al Hilal huko Mauritania. Kwa sasa,…

Read More

Zanzibar Heroes mabingwa Mapinduzi Cup 2025

TIMU ya Taifa ya Zanzibar Heroes, imefanikiwa kubeba ubingwa wa Kombe la Mapinduzi 2025 baada ya kuifunga Burkina Faso mabao 2-1. Katika mchezo wa fainali uliochezwa leo Januari 13, 2025 kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba, Zanzibar Heroes ilikuwa ya kwanza kufunga bao dakika ya 41 kupitia mshambuliaji Ibrahim Hamad Hilika. Hilika alifunga bao hilo kiufundi…

Read More