Vilio, simanzi vyatawala miili saba ya wanafunzi ikiagwa

Bukombe. Vilio na simanzi vimetawala katika viwanja vya Shule ya Sekondari Businda wakati miili saba ya wanafunzi waliopoteza maisha kwa kupigwa na radi ikiagwa leo Alajsi Januari 30, 2025 kabla ya kwenda kuzikwa. Tukio la wanafunzi kupigwa radi lilitokea Januari 27, 2025 wakati wakiwa darasani wakiendelea na masomo, katika ajali hiyo wanafunzi saba walipoteza maisha…

Read More

Jumuiya ya Wazazi kuanza amshaamsha sherehe za kuzaliwa CCM

Dodoma. Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), imeandaa kongamano la kusherehekea miaka 48 tangu kuzaliwa kwa CCM huku miongoni mwa mada ikiwa ni mchango wa chama hicho katika kukuza demokrasia nchini. Akizungumza leo Alhamisi, Januari 30, 2025, Mwenyekiti wa Taifa wa jumuiya hiyo, Fadhili Maganya amesema kuwa kongamano hilo litakalowashirikisha wasomi litafanyika katika…

Read More

Jumuiya ya Wazazi kuanza amsha, amsha sherehe za kuzaliwa CCM

Dodoma. Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), imeandaa kongamano la kusherehekea miaka 48 tangu kuzaliwa kwa CCM huku miongoni mwa mada ikiwa ni mchango wa chama hicho katika kukuza demokrasia nchini. Akizungumza leo Alhamisi, Januari 30, 2025, Mwenyekiti wa Taifa wa jumuiya hiyo, Fadhili Maganya amesema kuwa kongamano hilo litakalowashirikisha wasomi litafanyika katika…

Read More

Nyota Tabora United freshi kuivaa Simba

NYOTA watatu wa ‘Nyuki wa Tabora’ Tabora United, waliokuwa wanahofiwa kukosa mchezo wa Jumapili hii ya Februari 2, dhidi ya Simba, wamekamilisha taratibu zote hivyo kwa sasa wako tayari kwa ajili ya kukipambania kikosi hicho cha mkoani Tabora. Wachezaji hao ni kipa, Jean-Noel Amonome aliyetokea AS Arta/Solar7 ya Djibouti, winga Joseph Akandwanaho aliyetoka Mbarara City…

Read More