
Dodoma Jiji yasajili beki kutoka Coastal Union
HABARI zinabainisha kwamba Dodoma Jiji imekamilisha usajili wa beki Mukrim Issa aliyekuwa akiitumikia Coastal Union tangu mwanzo wa msimu huu. Beki huyo alikuwa akiichezea Coastal Union kwa mkopo akitokea Singida Black Stars na sasa amepelekwa tena Dodoma Jiji kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Singida Black Stars kimeliambia…