
Che Malone Awaomba Radhi Mashabiki wa Simba – Global Publishers
Last updated Jan 13, 2025 Beki wa kimataifa, Che Malone kupitia ukurasa wake wa Instagram leo Januari 14, 2025 amewaomba radhi mashabiki wa Simba na wadau wa soka kutokana na makosa aliyoyafanya likiwemo lililoigharimu Simba Januari 13, 2025 nchini Angola dhidi ya Bravos. Kwenye mchezo huo, Simba ilipata sare ya 1-1…