
Bavicha, Bazecha mguu sawa kuwapata viongozi wa kitaifa
Dar es Salaam. Ukweli kuhusu kina nani watakaopewa nafasi za kuyaongoza mabaraza ya wazee na vijana ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa nafasi za kitaifa, unatarajiwa kujulikana leo Jumatatu, Januari 13, 2025. Hilo linatokana na kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa Baraza la Vijana (Bavicha) na Wazee (Bazecha) kumpata Mwenyekiti wa Taifa na…