
Zanzibaar Heroes, Burkina Faso fainali ya kisasi Mapinduzi Cup 2025
MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi 2025 inafikia tamati usiku wa leo wakati timu za taifa za Zanzibar Heroes, wenyeji wa michuano hiyo, na wageni Burkina Faso zitapovaana katika fainali ya kisasi kwenye Uwanja wa Gombani, visiwani Pemba. Zanzibar na Burkina Faso zinakutana tena kuanzia saa 1:00 usiku baada ya awali kuvaana katika mechi ya makundi…