Serikali yaanza kuwapokea vijana 420 wa BBT awamu ya pili
Dodoma. Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imeanza kuwapokea vijana wa awamu ya pili wa mradi wa Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT) ambapo wanatarajia kupokea vijana 420 kutoka mikoa mbalimbali nchini. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumapili Januari 12, 2024 Mkurugenzi Msaidizi Mipango na Bajeti wa Wizara wa Kilimo, Mohamed Chikawe amesema awamu hii wanatarajia…