Navarro ndo basi tena Azam FC
MATAJIRI wa Azam FC, wamedaiwa wapo katika mchakato wa kuachana na mshambuliaji raia wa Colombia, Franklin Navarro, kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya nyota huyo kushindwa kuonyesha makali yake na kutimiza matarajio yaliyowekwa kwake tangu alipojiunga na timu hiyo. Navarro mwenye miaka 25, alianza kwa kuondolewa katika usajili wa wachezaji wa kigeni wanaotumika…