Zaidi ya koo 45 za Waluguru zafanya tambiko kudumisha amani, kupinga ukatili wa kijinsia
Morogoro. Zaidi ya koo 45 za kabila la Waluguru zimefanya tambiko la tano la kudumisha amani na umoja katika jamii, kutoa elimu ya ulinzi na uhifadhi wa mazingira na kupambana na ukatili wa kijinsia kwa watoto, wanawake, na wazee kwa kushirikisha wadau mbalimbali mkoani hapa. Akizungumza leo Jumapili Januari 12, 2025 mjini Morogoro, Chifu Mussa…