
WANAWAKE VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA SONGWE KUSHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.
Na Issa Mwadangala Askari wa kike kutoka Vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoani Songwe waungana ili kushiriki kikamilifu katika Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani itakayofanyika Machi 2025. Kauli hiyo imetolewa Januari 30, 2025 na Mwenyekiti wa Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Songwe (TPF- NET) Mkoa wa Songwe Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP) Akama…