Yanga yaendelea kukusanya mashine WPL
BAADA ya kushusha majembe matatu kwenye dirisha dogo la usajili, Yanga Princess imesema bado wengine wanakuja. Hadi sasa Yanga imetambulisha wachezaji watatu kutoka Get Program, Diana Mnally, Zubeda Mgunda na Protasia Mbunda ambao hapo awali Mwanaspoti tuliwahi kuandika kuhusu tetesi za wachezaji hao kuhusishwa na wananchi wa kike. Msimu huu Yanga Princess chini ya Edna…