Riadha Kilimanjaro yapata mabosi wapya

CHAMA cha Riadha Mkoa wa Kilimanjaro kimepata mabosi wapya baada ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa chama hicho uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, huku Mwenyekiti wa zamani Adram Mikumi akiangushwa na Nelson Mrashani. Katika uchaguzi huo Mrashani alipata kura 17 na kumshinda Mikumi aliyepata sita, ilhali nafasi ya Makamu Mwenyekiti…

Read More

Wataalamu: Kipindupindu kidhibitiwe kama Uviko-19

Dar es Salaam. Wakati baadhi ya mikoa nchini ikiripotiwa kukumbwa na kipindupindu, wataalamu wa afya wameshauri juhudi zilizotumika kudhibiti Uviko-19 zitumike kukomesha ugonjwa huo. Wakati wa mapambano ya Uviko-19, jamii ilihamasishwa kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni, kuepuka kugusana, matumizi ya maji safi na salama na kuzingatia usafi wa mazingira. Mbali ya hayo, wataalamu…

Read More

Serikali yatoa msimamo afya mabondia wa kulipwa

SERIKALI imewataka mapromota kuhakikisha wanakuwa na ripoti ya afya kwa mabondia kabla ya kuingia makubaliano ya kusaini mikataba ya kucheza mapambano. Kauli hiyo imetolewa leo na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’ wakati akifanya kikao na mapromota wa ngumi za kulipwa jijini Dar es Salaam. Mwana FA amesema mapromota…

Read More

Majeruhi ajali ya Msoga waruhusiwa

Bagamoyo. Majeruhi wote 21 waliokuwa wamelazwa kwenye Hospitali ya Msoga Halmashauri ya Chalinze Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani kufuatia ajali iliyohusisha Coaster na lori wameruhusiwa baada ya afya zao kutengamaa. Ajali hiyo iliyotokea Januari 10, 2025 Kijiji cha Mazizi Mkoani Pwani inadaiwa kusababishwa na uzembe wa dereva wa Coaster aliyekuwa anaendesha gari huku akitumia…

Read More

Serikali kuanza kuandaa wauguzi na wakunga bobezi

Arusha. Katika kukuza utalii wa matibabu na kufikia malengo ya kitaifa ya kutokomeza vifo vya wajawazito wakati wa kujifungua, Serikali inatarajia kuanza kuwasomesha wauguzi na wakunga katika masomo ya ubingwa na ubingwa bobezi. Hayo yamesemwa leo Januari 11,2025 jijini Arusha na Waziri wa Afya Jenista Mhagama wakati akikagua na kuzindua chumba cha huduma za dharura…

Read More