Lyanga, Mashujaa kuna kitu Bara
UONGOZI wa Mashujaa FC unadaiwa upo katika mchakato wa kusaka saini ya mshambuliaji mkongwe Danny Lyanga anayekipiga JKT Tanzania, ili kuongeza nguvu kikosini kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa wiki ijayo. Kama ambavyo Mwanaspoti liliripoti awali likimnukuu kocha Abdallah Mohamed ‘Bares’, akithibitisha uhitaji wa kusajili mshambuliaji, kiungo na beki mchakato huo umeanza kufanyiwa kazi….