TUSHIRIKIANE KUJENGA MIRERANI – HANS NKYA

Na Mwandishi wetu, Mirerani MWENYEKITI mpya wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Hans Nkya amewataka wajumbe wa mamlaka hiyo kumpa ushirikiano wa kutosha ili waweze kuyapatia majawabu matatizo ya jamii inayowazunguka. Nkya ameyasema hayo wakati akitoa hotuba yake ya mwanzo ya shukurani mara baada ya wajumbe wote 35 wa mamlaka…

Read More

SERIKALI YATOA BILIONI 14.4 MRADI WA ENGARUKA

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo Januari 10,2025 katika tarafa ya Mtowambu wilayani Monduli. Na.Mwandishi Wetu WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo, amesema Serikali imetoa shilingi bilioni 14.4 kwa ajili ya utelelezaji wa mradi wa magadi soda wa Engaruka na ulipaji fidia kwa…

Read More

Ushirikiano wa Biashara Hutoa Matumaini Dhidi ya Ukataji miti – Masuala ya Ulimwenguni

Misitu katika karibu kila nchi yenye misitu inakabiliwa na vitisho kutokana na moto unaotokana na mabadiliko ya tabianchi na shinikizo la ukataji miti unaochochewa na maslahi ya kiuchumi yanayotumia rasilimali asilia. Credit: Imran Schah/IPS Maoni Imeandikwa na Agus Justino (banten, indonesia) Ijumaa, Januari 10, 2025 Inter Press Service BANTEN, Indonesia, Jan 10 (IPS) – Katika…

Read More

DRC yaifungia Al Jazeera kurusha matangazo nchini humo

Dar es Salaam. Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) imekifungia kituo cha televisheni cha Al Jazeera kutokana kile ilichokisema imerusha mahojiano na kiongozi wa kundi la waasi wa M23, Bertrand Bisimwa. Taarifa iliyochapishwa na shirika la habari la DW, ikimnukuu msemaji wa serikali ya DRC, Patrick Muyaya akieleza kwamba mamlaka zimebatilisha kibali cha…

Read More

Trump ahukumiwa Marekani, hatokwenda gerezani

Washington. Hukumu ya kesi iliyokuwa ikimkabili Rais mteule wa Marekani, Donald Trump imesomwa leo na kumfanya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kuhukumiwa kwa makosa ya uhalifu. Pamoja na hukumu hiyo kutolewa leo Ijumaa Januari 10, 2025, Trump hatotumikia kifungo chochote wala kulipa faini katika shtaka la matumizi mabaya ya fedha kwa kumhonga mcheza picha…

Read More

600,000 watumia majina feki kuomba vitambulisho Nida

Dar es Salaam. Ikiwa zimepita siku 25 tangu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa kuipa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), siku 60 za kusambaza vitambulisho milioni 1.2 vilivyotengenezwa, mamlaka hiyo imebainisha kukumbana na changamoto ya majina feki. Akizungumza na waandishi wa habari, baada ya ziara fupi ya Naibu Waziri wa Mambo…

Read More

Ulega kuwa Waziri wa ‘Site’

Kilwa. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema katika utendaji wake asitarajiwe kuonekana zaidi ofisini bali atajikita kwenye ziara kukagua miradi mbalimbali ikiwemo barabara, ili kuona uhalisia wa utekelezaji wake. Amesema Serikali imetoa fedha nyingi kwa ajili ya uboreshaji na ujenzi wa miundombinu hivyo, lazima afuatilie kwa ukaribu kujua utekelezaji wake hasa kwa kuzingatia viwango na…

Read More