Jamii namba mbioni kuanza kutolewa
Dar es Salaam. Wakati Serikali ikitangaza zaidi ya mifumo 300 kufanya kazi kwa kusomana, wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC) wametaka mchakato wa utoaji namba jamii kwa Watanzania kuharakishwa. Hiyo imetajwa kuwa moja ya njia itakayosaidia kusomana kwa mifumo hiyo kuwa na faida katika ukuaji wa uchumi na kuongeza uwazi zaidi. Jamii namba…