Hiki hapa kilichoondoa uhai wa Sheikh Muhammad Idd

Dar  es Salaam. Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Alhaj Nuhu Mruma, amesema kifo cha Sheikh Muhammad Iddi kimesababishwa na presha kupanda leo asubuhi Alhamisi  Januari 30, 2025,  kabla ya kukimbizwa Hospitali ya Mloganzila na baadaye kufariki dunia akiwa njiani. “Hali hiyo ilisababisha mishipa ya damu kupasuka na kusababisha damu kutoka na…

Read More

Wanafunzi wasuasua kuripoti shule Bunda

Bunda. Asilimia 32 ya wanafunzi waliopangiwa kujiunga na kidtao cha kwanza katika shule mbalimbali za Sekondari wilayani Bunda katika Mkoa wa Mara bado hawajaripoti shuleni licha ya shule hizo kufunguliwa takriban wiki mbili sasa. Aidha asilimia 36 ya wanafunzi waliotarajiwa kuanza darasa la kwanza wilayani humo pia bado hawajaripoti huku asilimia 42 ya wanafunzi wa…

Read More

Wanafunzi waliofariki dunia kwa radi waagwa Geita

Bukombe. Mamia ya wakazi wa Wilaya ya Bukombe mkoani Geita wamejitokeza katika viwanja vya shule ya sekondari Businda kwa ajili ya kuwaaga wanafunzi saba waliopoteza maisha kwa kupigwa na radi Januari 27, 2025 wakiwa darasani wakiendelea na masomo, huku Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko akiwa miongoni mwa waombolezaji. Katika tukio…

Read More

DC Mufindi atahadharisha kuhusu ugonjwa wa Marburg

Mufindi. Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Dk Linda Salekwa wamewataka wananchi katika wilaya yake kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa Marburg ambao umeripotiwa kuingia hapa nchini katika Wilaya ya Bihalamuro mkoani Kagera. Januari 20, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alithibitisha uwepo wa ugonjwa huo wakati alipoungumza na waandishi wa habari akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika…

Read More

Miili 18 yaopolewa ajali ya ndege, helikopta Marekani

Washington. Televisheni ya CBS News imeripoti kuwa tayari miili ya watu 18 imeopolewa kutoka kwenye maji ya mto ambao ajali ya ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la Marekani (American Airlines) iliyogongana na Helkopta ya Jeshi la nchi hiyo aina ya UH-60 ‘Black Hawk’. Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo Alhamisi Januari 30,…

Read More

M23 inavyowaingiza vitani Kagame, Ramaphosa

Mgogoro unaoendelea katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) umeendelea kuibua mvutano mkubwa kati ya viongozi wa Afrika, hususan Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini. Matamshi yao makali na shutuma wanazotoa waziwazi zimeweka bayana msuguano mkubwa kati ya mataifa haya mawili yenye ushawishi barani Afrika….

Read More

Mvutano mkali kati ya Kagame, Ramaphosa

Mgogoro unaoendelea katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) umeendelea kuibua mvutano mkubwa kati ya viongozi wa Afrika, hususan Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini. Matamshi yao makali na shutuma wanazotoa waziwazi zimeweka bayana msuguano mkubwa kati ya mataifa haya mawili yenye ushawishi barani Afrika….

Read More

Sheikh Muhammad Idd afariki dunia, kuzikwa kesho Tanga

Sheikh maarufu nchini Sheikh Muhammad Idd Muhammad, amefariki dunia leo tarehe 30, Januari, 2025Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, kifo chake kimetokea katika Hospitali ya Mloganzila alikokuwa akipatiwa matibabu. Hadi mauti yanamfika, Sheikh huyu maarufu pia kwa jina la Abu Idd alikuwa mshauri wa Mufti kwenye masuala ya…

Read More