BALOZI WA JAPANI AMALIZA MUDA WAKE WA UWAKILISHI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amemuaga Balozi wa Japan nchini, Mhe. Yasushi Misawa anayetarajia kumaliza muda wake wa uwakilishi Januari 17, 2025. Mhe. Kombo ameishukuru Japan kwa kuwa miongoni mwa wadau wanaosaidia kufanikisha Miradi ya Maendeleo hapa nchini katika sekta mbalimbali ikiwemo miundombinu, biashara, afya,…

Read More

WAZIRI KOMBO AAGANA NA BALOZI WA ALGERIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Balozi wa Algeria nchini Mhe. Ahmed Djellal aliyefika katika ofisi za Wizara Dar es Salaam kutoa shukrani na kuaga akiwa anaelekea ukingoni mwa kuhudumia nchini Tanzania. Kwa pamoja viongozi hao wawili wamekumbushana kuhusu historia nzuri ya uwili kati ya…

Read More