WAZIRI MKUU AWASILI UGANDA KUMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA MKUTANO WA KILIMO

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Januari 10, 2025 amewasili Kampala nchini Uganda ambapo kesho Januari 11, 2025 atamwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika Mkutano kuhusu Mpango wa Kilimo Afrika utakaofanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Speke Resort and Conference Centre Munyonyo. Mheshimiwa Waziri Mkuu alipokelewa na Waziri wa Nchi anayeshugulikia Kilimo, Mifugo na…

Read More

MEYA KUMBILAMOTO AZINDUA NYUMBA ZA KISASA MILANO

WAWEKEZAJI Nchini Wahakikishiwa Usalama na Amani ili wa Mali zao ili waweze Kufanya Uwekezaji wenye tija kwa Maslahi mapana ya Taifa . Akizungumza na Wanahabari Leo Januari 10,2025 Wakati wa Uzinduzi wa mradi Wa Nyumba za Kisasa (Milano Appartment) uliopo Masaki JijiniDaresSalaam,Meya wa Jiji la Dar es Salaam Omary Kumbilamoto amesema anamshukuru sana Rais wa…

Read More

STAMICO YAPONGEZWA KWA KUWEZESHA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA-PEMBA

Na Nasra Ismail Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeshiriki Maonesho ya 11 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Chamalangwa-Pemba Visiwani Zanzibar yaliyoanza tarehe 7/1/2025-15-1-2025 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Waziri wa Utalii na Malikale wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Mudrik Soraga. Katika Maonesho hayo, Mgeni Rasmi alilitunuku Shirika la Madini la…

Read More

NMB YATOA PONGEZI KWA JESHI LA POLISI MKOA WA SONGWE

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Ignace Senga akipokea zawadi mbalimbali za ofisi ikiwa ni pamoja na kalenda ya mwaka 2025 kutoka kwa Meneja wa tawi la benki ya NMB wilaya ya Mbozi, Greyson John Komba akiwa ameambatana na Mdhibiti Ubora wa Tawi, Fausta Lusekelo , walipotembelea ofisi…

Read More

Jamii yahimizwa kuomba mikopo kukuza biashara

Unguja. Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar, Shaib Hassan Kaduara amewataka wajasiriamali wa Soko la Kinyasini, Mkoa wa Kaskazini Unguja kujiunga na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kuomba mikopo ili kuendeleza biashara zao. Amesema hayo katika ufunguzi wa tawi la PBZ leo Ijumaa Januari 10, 2025, Kinyasini, Kaskazini Unguja. “Biashara yoyote inahitaji mtaji,…

Read More