Yajue mambo hatari kwa afya ya ubongo
Dar es Salaam. Ubongo ni kati ya viungo muhimu katika mwili wa binadamu, ni chanzo kikuu cha kudhibiti mifumo yote ya mwili. Wataalamu wa afya wamekuwa wakisisitiza juu ya umuhimu wa kulinda afya ya ubongo ili viungo vingine katika mwili wa binadamu viweze kufanya kazi vizuri. Hata hivyo, kutokana na tabia pamoja na mambo mbalimbali…