WAFANYABIASHARA WAKUBWA NCHINI WASHIRIKI MKUTANO WA NISHATI

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania, Bw. Manzi Rwegasira (kushoto), akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Bw. Abdulmajid Nsekela (kulia), wakati wa Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika ‘Mission 300’ uliomalizika hivi karibuni katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mtendaji…

Read More

Wanafuzni waliofariki dunia kwa radi waagwa Geita

Bukombe. Mamia ya wakazi wa Wilaya ya Bukombe mkoani Geita wamejitokeza katika viwanja vya shule ya sekondari Businda kwa ajili ya kuwaaga wanafunzi saba waliopoteza maisha kwa kupigwa na radi Januari 27, 2025 wakiwa darasani wakiendelea na masomo, huku Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko akiwa miongoni mwa waombolezaji. Katika tukio…

Read More

CAN TANZANIA WATOA UFADHILI WA MASOMA WANAFUNZI 36

  FARIDA MANGUBE, MOROGORO  Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Prof. Raphael Chibunda, amewataka wanafunzi waliopata ufadhili wa masomo kutoka taasisi ya CAN TANZANIA kuzingatia masomo na kuwa na nidhamu ili waweze kufikia malengo yao ya kielimu. Prof. Chibunda ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ufadhili wa masomo kwa…

Read More

Sheikh Muhammad Idd afariki dunia

Sheikh maarufu nchini Sheikh Muhammad Idd Muhammad, amefariki dunia leo tarehe 30, Januari, 2025Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, kifo chake kimetokea katika Hospitali ya Mloganzila alikokuwa akipatiwa matibabu. Hadi mauti yanamfika, Sheikh huyu maarufu pia kwa jina la Abu Idd alikuwa mshauri wa Mufti kwenye masuala ya…

Read More