WAKAZI WA SAME WATAKIWA KUENZI MABADILIKO YA MIUNDOMBINU NA UCHUMI YANAYOWEKEZWA NA SERIKALI
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amewataka wananchi wa wilaya ya Same kutambua na kumiliki mafanikio ya serikali kwa kutunza na kulinda miundimbinu inayowekezwa kwenye maeneo yao pamoja na kujenga tabia ya kuenzi mabadiliko makubwa ya miundombinu ya huduma na uchumi ambayo imewekezwa na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa…