Mama Mongella apaza kilio pensheni kiduchu kwa viongozi wastaafu
Dar es Salaam. Serikali imeshauriwa kuangalia upya pensheni za wastaafu ili ziendane na za wastaafu wa sasa kwa kuwa wote mahitaji yao yanafanana na wote wanakabiliwa na mfumuko wa bei. Wastaafu wa zamani wanatajwa kupokea malipo kidogo ya kila mwezi, jambo linalowafanya washindwe kumudu mahitaji yao ya kila siku kutokana na kupaa kwa gharama za…