Samia: Maono ya Serikali kuzalisha wataalamu badala ya wasomi

Unguja. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema maono ya Serikali ni kusomesha watoto kuwa wataalamu wanaoweza kuajirika ndani ya miradi inayowekezwa nchini. Amesema elimu inayotolewa inatakiwa kuzalisha wataalamu na si wasomi pekee, kwani mtu anaweza kuwa msomi lakini asiwe mtaalamu, hivyo kushindwa kujisaidia yeye mwenyewe na kushindwa kulisaidia taifa lake. Rais Samia Suluhu Hassan…

Read More

Mwendokasi Mbagala bado kitendawili | Mwananchi

Dar es Salaam. Hatua ya kuitwa wazabuni wa kusambaza gesi asilia katika mabasi 755 yatakayotoa huduma katika awamu ya pili ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), inatia moyo, lakini bado haitegui kitendawili cha lini awamu hiyo itaanza rasmi. Jawabu la lini awamu hiyo itaanza kazi linabaki kuwa kitendawili kisichoteguka, kutokana na ahadi lukuki zilizowahi…

Read More

Mzize afunika Ligi ya Mabingwa Afrika

MSHAMBULIAJI wa Yanga Sc Clement Mzize, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa michuano ya Klabu bingwa Afrika na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 amekuwa akivutia klabu nyingi kubwa kutoka nje na ndani ya Afrika kwa muda mrefu na ameendelea kujijengea sifa kwa bora anaozidi kuuonyesha katika miezi…

Read More

Ahadi tano za Trump akiingia White House

Zikiwa zimebakia siku 12 za kuapishwa kwa Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, tayari mambo muhimu aliyoyaahidi kwa Wamarekani yanamsubiri ofisini kwake na anatarajiwa kuanza na moja baada ya jingine. Trump, ambaye ni Rais wa 45 na 47 wa Marekani, anatarajiwa kuapishwa Januari 20, 2025, akichukua nafasi ya Joe Biden, ambaye anamaliza muda wake akiwa…

Read More