TAAMULI HURU: Si lazima kila ukweli usemwe hadharani
Japo makala zangu zinajikita zaidi kwenye mada za kikatiba, kisheria na haki, lakini mara mojamoja pia ninaingia kwenye mada za kisiasa, kiuchumi na kijamii, mada yangu ya leo, ni ya kuwafundisha Watanzania uzalendo, ingekuwa ni zamani ningewafundisha waandishi wa habari, lakini ujio wa mitandao ya kijamii, sasa kila mtu ni mwandishi. Uzalendo ninaoufundisha hapa ni…