Mtawa wa Kanisa Katoliki mwenye umri mkubwa duniani
Dar es Salaam. Sista Inah Canabarro Lucas raia wa Brazil anatajwa kuwa ndiye mtawa mwenye umri mkubwa zaidi duniani kwa sasa baada ya kifo cha Tomiko Itooka wa Japan aliyefariki akiwa na miaka 116. Inah (116) alizaliwa Juni 8, 1908, huko São Francisco de Assis, Rio Grande do Sul, Brazil. Alipokea nadhiri zake za kitawa…