
ATCL YATANGAZA NAFASI 59 ZA AJIRA KWA WATANZANIA
DAR ES SALAAM – Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imetangaza nafasi 59 za ajira kwa Watanzania wenye sifa, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha ufanisi wa uendeshaji na kuendana na kasi ya upanuzi wa huduma zake. Nafasi hizi zinahusisha idara mbalimbali, ikiwemo Uendeshaji wa Ndege, Upangaji wa Ratiba za Wahudumu, Mauzo na Masoko,…