NAIBU WAZIRI WA MAJI AAHIDI NEEMA KIBAHA

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge akisalimiana na Naibu Waziri wa Maji Kundo Mathew Ofisini kwake. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Dawasa Mhandisi Mkama Bwire na Meneja wa Ruwasa Mko wa Pwani Beatrice Kasimbazi. Naibu Waziri wa Maji Mhe.Kundo Mathew katikati kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Rashid Mchatta na kulia ni…

Read More

Josiah anaanza hivi Tanzania Prisons, mastaa wote ndani

Baada ya kuanza kibarua chake, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Aman Josiah, amesema licha ya ugeni alionao kwenye Ligi Kuu Bara, lakini haoni kitu kipya badala yake anaamini katika uwezo wake. Josiah ameanza kazi hiyo kikosini humo akitokea Geita Gold inayoshiriki Ligi ya Championship, akichukua nafasi ya Mbwana Makata aliyesitishiwa mkataba Desemba 28, 2024 kufuatia…

Read More

Polisi Kenya wakana kuhusika na utekaji

Kenya. Wakati vijana wanne waliokuwa wamedaiwa kutekwa nyara wakiachiliwa katika maeneo tofauti nchini Kenya, polisi wamekana kuwateka au kuwaachia huru. Vijana hao wanne kati ya 29 walioripotiwa kutekwa na watu wasiojulikana wamepatikana wakiwa hai jana Januari 6, 2025, tovuti za Daily Nation na Tuko zimeripoti. Vijana hao wanaotajwa kuwa wakosoaji wa Serikali ya awamu ya…

Read More

Chadema yaonya minyukano ya wagombea

Dar es Salaam. Wakati minyukano ya wazi na ya chini kwa chini ikiendelea kuelekea uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ngazi ya taifa, Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika ametoa onyo kwa wanachama, wagombea na mawakala wao, akiwataka kufuata miongozo ya kampeni la sivyo hatua zitachukuliwa dhidi yao. Miongozo hiyo ni ile…

Read More

Madereva wenye leseni, hawana vyeti kikaangoni

Moshi. Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Kilimanjaro, limeendelea na operesheni maalumu ya kuhakiki leseni za madereva wa magari ya abiria. Jeshi hilo limesema madereva watakaokutwa hawana sifa za kuendesha magari hayo wataondolewa barabarani. Jana, Januari 6, 2025 baadhi ya magari madogo aina ya Toyota Noah yanayobeba abiria kati ya Moshi Mjini…

Read More