Kagera Sugar yafuata mido Kenya

KLABU ya Kagera Sugar, imefikia makubaliano ya awali na kiungo wa Tusker FC, Saphan Siwa Oyugi, kwa ajili ya kumsajili kama mchezaji huru. Hata hivyo, ingawa taarifa za awali zimesambaa kwamba usajili huu umekamilika, bado haijathibitishwa rasmi na klabu ya Kagera Sugar au Tusker FC. Kwa mujibu wa vyanzo, pande zote mbili zimefikia makubaliano ya…

Read More

Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani limelaani mashambulizi ya Israel dhidi ya msafara wa misaada – Global Issues

The WFP ilitoa taarifa siku ya Jumatatu kulaani shambulio hilo ikisisitiza kwamba magari yake yalikuwa “yamewekwa alama”. “Angalau risasi 16” zilipiga msafara huo ya magari matatu yaliyokuwa yamebeba wafanyakazi wanane ambayo yaliteketea karibu na kituo cha ukaguzi cha Wadi Gaza. “Kwa bahati nzuri, hakuna wafanyikazi waliojeruhiwa katika tukio hili la kutisha,” shirika hilo liliongeza. Vibali…

Read More

Maagizo ya Rais Samia, Dk Mwinyi uwekezaji visiwani

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan, amefungua hoteli akiunga mkono kauli ya Rais Dk Hussein Mwinyi wa Zanzibar, kwamba wanaochelewesha uwekezaji katika visiwa baada ya miezi mitatu wavirudishe serikalini watafutwe wawekezaji wengine. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Januari 7, 2025 alipokuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mradi wa Hoteli ya Bawe Island by…

Read More

Mtihani kesi ya Trump akisubiri kuapishwa

Wakati Rais mteule wa Marekani, Donald Trump akisubiri kuapishwa Januari 20, mwaka huu, bado anakabiliwa na uwezekano wa kuhukumiwa wiki hii kwenye kesi yake ya kumlipa kahaba, baada ya jaji kukataa kusitisha hukumu yake licha ya mawakili wake kukata rufaa. Katika kesi hiyo, Trump anatuhumiwa kumlipa Stormy Daniels ili kumziba mdomo kuhusu kuwapo kwa uhusiano…

Read More

Kocha Singida Black Stars ataka ushindi, burudani

MMESIKIA huko? Kocha mpya wa Singida Black Stars, Hamdi Miloud mwenye uraia pacha wa Algeria na Ufaransa, ambaye amerithi mikoba ya Patrick Aussems, ameeleza kuwa na mpango wa kuifanya timu hiyo kuwa tishio Ligi Kuu Bara kulingana na ubora wa wachezaji alionao. Kocha huyo mwenye leseni ya UEFA A, anasisitiza kuwa lengo lake ni kuleta…

Read More

Usajili wazibeba JKT Queens, Simba

KOCHA Mkuu wa Alliance Girls, Sultan Juma amesema kwa sasa Simba Queens na JKT Queens hazina upinzani kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake kutokana na kufanya usajili bora na uwekezaji mkubwa. Ligi hiyo ambayo imemaliza mzunguko wa kwanza, mabingwa watetezi, Simba Queens wako kileleni na alama 25 wakishinda nane na sare moja…

Read More

Walioshtakiwa kwa tuhuma za mauaji ya msimamizi wa mirathi, mkewe waachiwa huru

Arusha. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Geita, imewaachia huru watu 10 wakiwamo wa familia moja waliokuwa wakishtakiwa kwa kesi ya mauaji ya wanandoa. Mauaji hayo yanadaiwa kusababishwa na mgogoro wa muda mrefu wa mirathi kuhusu shamba la familia la ekari 400. Waliokuwa wakishtakiwa ni Ernests Nyororo, Zanzibar Madegeleki, Lucas Madegeleki, Lushingi Madegeleki, Kesi Madegeleki, Simon…

Read More