NAIBU WAZIRI KUNDO AONGOZA KIKAO KAZI NA WATUMISHI SEKTA YA MAJI PWANI
_Asisitiza kuboresha huduma kwa Wateja na usimamizi thabiti ya huduma ya Majisafi Naibu Waziri wa Maji Mhe. Kundo Andrea Mathew (Mb) ameanza ziara ya kikazi ya siku mbili katika Mkoa wa Pwani yenye lengo la kuangalia njia bora za kuboresha huduma ya maji katika Mkoa huo. Mhe.Kundo ameeleza dhumuni ya ziara yake ni kukutana wa…