Mzee adaiwa kujinyonga kisa msongo wa mawazo

Shinyanga. Joseph Tuju (73) mkazi wa Mtaa wa Azimio, Kata ya Lubaga, Halmashauri Manispaa ya Shinyanga amefariki dunia kwa madai ya kujinyonga kwa kutumia shuka akiwa ndani ya nyumba yake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo akisema, “taarifa hizi nimepokea Januari 6, 2025 saa 12 jioni na kwa…

Read More

Planet yaivua ubingwa Eagles Mwanza

PLANET imetwaa ubingwa wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza (MRBA), baada ya kuifunga Eagles katika michezo 3-1. Fainali ya mchezo huo iliyochezwa kwa timu kucheza michezo mitano yaani best of five play off ilimalizika katika Uwanja wa Mirongo jijini humo. Katika mchezo wa kwanza Planet ilishinda kwa pointi 71-53, ule wa pili 67-62, huku…

Read More

Machafuko yaendelea Ukingo wa Magharibi – DW – 07.01.2025

Jeshi la Israel limesema ndege yake ya kivita iliwalenga magaidi katika eneo la Tamun la Bonde la Jordan. Shambulizi hilo la Israel kwenye Ukingo wa Magharibi limetokea baada ya Waisrael watatu kuuawa na watu wengine wanane kujeruhiwa katika shambulizi lililotokea kaskazini mwa Ukingo huo. Vyombo vya habari viliripoti kuwa mshambuliaji wa Kipalestina alilifyatulia risasi basi…

Read More