Fadlu alivyovunja mwiko wa miaka 22
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, ameweka rekodi ndani ya timu hiyo baada ya kupata ushindi wa bao 1-0, juzi dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia. Ushindi huo ni wa kwanza ugenini kwa kikosi hicho kuupata Ukanda wa Kaskazini mwa Afrika kwenye michuano ya CAF. Bao la Simba lilifungwa na kiungo mshambuliaji, Jean Charles Ahoua dakika…